mjasiriamali
— Tabata, Dar Es Salaam, Tanzania, Dar Es Salaam, Tanzania
Mbeya here we come Ikiwa ndo Kwanzaa mwanzo wa mwaka Tunakuletea Event moja hatariii itakayofufua ndoto zako na kukupa matumaini mapyaa ya kwenda kufanikiwa Mwanaume/ mwanamke Mfantabiashara, mfanyakazi,,mama wa nyumbani,,mwanafunzi Wote Tunakaribishwa 0767 525941 ili upate ticket